Saturday, March 7, 2015

WAHANGA WA MVUA YA SHINYANGA WAANDAMANA NA KUFUNGA BARABARAWananchi wa kijiji cha Mwakata amabo ni waathirika wa tukio la juzi la mvua na mafuriko yaliyosababisha vifo wameeandamana hadi barabara kuu iendayo Dar es Salaam na kufunga barabara,dai lao kuu ni kutoridhishwa na huduma inayotolewa na serikali.

Hadi muda huu magari yanayosafiri kupitia barabara hiyo ikiwemo mabasi ya abiria yameshindwa kuendelea na safari na yote yako eneo la Kagongwa.No comments: