Sunday, March 1, 2015

RAIS KIKWETE AIFARIJI FAMILIA YA KAPTENI JOHN KOMBARais Jakaya Mrisho kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo alipokwenda yeye Mama Salma Kikwete kutoa pole na kuifariji familia ya Mbunge wa Mbinga Magharibi na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Marehemu Kapteni John Komba aliyefariki dunia jana nyumbani kwa marehemu Mbezi kwa Komba jijini Dar es salaam leo March 1, 2015

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo walipokwenda  yeye na Rais Kikwete  kutoa pole na kuifariji familia ya Mbunge wa Mbinga Magharibi.

Rais Jakaya Kikwete akimsalimia mjane wa aliyekuwa Mbunge wa Mbinga magharibi Kapteni John Komba, Salome Mwakangale.

Rais Jakaya Mrisho kikwete na mkewe Mama Salma kikwete wakiwafariji wasanii wa Tanzania One Theatre kufuatia kifo cha kiongozi wao,  Mbunge wa Mbinga Magharibi na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Marehemu Kapteni John Komba aliyefariki dunia jana nyumbani kwa marehemu Mbezi kwa Komba jijini Dar es salaam leo March 1, 2015.

No comments: