Wednesday, March 4, 2015

MVUA KUBWA YALETA MADHARA KAHAMA MKOANI SHINYANGA

Mvua kubwa iliyonyesha usiku wa kuamkia leo,imesababisha maafa makubwa katika  kijiji cha mwakata wilaya ya kahama mkoa wa shinyanga.


 Inaelezwa kuwa, mvua hiyo iliyonyesha kwa zaidi ya masaa 6 imesababisha maafa makubwa katika kijiji hicho,nyumba kadhaa zimezolewa na  mifugo kusombwa na maji. 

No comments: