Sunday, March 1, 2015

LOWASSA AHANI MSIBA WA KAPTENI KOMBA

Waziri Mkuu wa zamani, Mh. Edward Lowassa akiwasili nyumbani kwa marehemu Kapteni John Komba, Mbezi Tangi Bovu, Dar es Saam leo.Waziri Mkuu wa zamani, Mh. Edward Lowassa akizungumza na Mh. Peter Serukamba na ndg. Hussein Bashe, nyumbani kwa marehemu Kapteni John Komba , Mbezi Tangi Bovu, Dar es Saam leo.

Waziri Mkuu wa zamani, Mh. Edward Lowassa akizungumza na Waandishi wa Habari juu ya Msiba wa aliyekuwa Mjumbe wa NEC/CCM, Kiongozi wa TOT, marehemu Kapteni John Komba, nyumbani kwa marehemu, Mbezi Tangi Bovu, Dar es Saam leo.

Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa akijiandaa kutia saini kwenye kitabu cha rambirambi ya Msiba wa aliyekuwa Mjumbe wa NEC/CCM, Kiongozi wa TOT, marehemu Kapteni John Komba, nyumbani kwa marehemu, Mbezi Tangi Bovu, Dar es Saam leo.

Waziri Mkuu wa zamani, Mh. Edward Lowassa akizungumza na Mh. William Ngeleja (MB), kushoto ni Waziri wa Ulinzi Mh. Hussein Mwinyi, nyumbani kwa marehemu, Mbezi Tangi Bovu, Dar es Saam leo.

Waziri Mkuu wa zamani, Mh. Edward Lowassa akizungumza na Mh. William Ngeleja (MB), kushoto ni Waziri wa Ulinzi Mh. Hussein Mwinyi, nyumbani kwa marehemu, Mbezi Tangi Bovu, Dar es Saam leo.


Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa akitia saini kwenye kitabu cha rambirambi ya Msiba wa aliyekuwa Mjumbe wa NEC/CCM, Kiongozi wa TOT, marehemu Kapteni John Komba, nyumbani kwa marehemu, Mbezi Tangi Bovu, Dar es Saam leo.


No comments: