Wednesday, December 3, 2014

HALI HALISI YA MAFURIKO JIJINI MWANZA.

Hali halisi katika maeneo ya Ilemela na Mabatini jijini Mwanza. Suluhisho ni kubuni miundombinu wezeshi kwa wale waliojenga milimani dhidi ya wale walio chini tambarare. Picha na Daniel Ngosha.

No comments: