Monday, November 3, 2014

VIGOGO WA TPDC WATUPWA KOROKORONI NA KAMATI YA BUNGE MASHIRIKA YA UMMA.
Kaimu Mkurugenzi wa TPDC na mwenyekiti wake wa bodi watupwa rumande kufuatia kushindwa kuwasilisha mikataba 26 kwa PAC.

Kaimu Mkurugenzi wa TPDC,bwa.James Andilile na Mwenyekiti wake wa bodi bw.Michael Mwanda wamepelekwa rumande kwa kosa la kutowasilisha mikataba 26 kwa kamati ya bunge la hesabu za mashirika ya umma PAC,Kamati imeagiza wapelekwe huko na hatua zichukuliwe dhidi yao.

No comments: