Monday, November 24, 2014

MDAHALO WA KATIBA INAYOPENDEKEZWA
HAYAWI HAYAWI YAMEKUWA ULE MDAHALO UNAOSUBIRIWA SANA SASA NI JUMANNE TAREHE 25 NOVEMBA KATIKA UKUMBI WA MLIMANI CITY SAA 8-12 JIONI. UTARUSHWA LIVE NA ITV, RADIO ONE NA SIBUKA MAISHA TELEVISION.

SAMBAZA UJUMBE HUU, NAOMBA SHARES ZA KUTOSHA.


HII SI YA KUKOSA

No comments: