Wednesday, October 15, 2014

UCHAGUZI MKUU MSUMBIJI


Hii leo nchini Msumbiji kuna fanyika uchaguzi Mkuu wa Rais,Wabunge na wawakilishi wa majimbo, ambao ni wa kwanza wa kidemokrasia tangu nchi hiyo kujipatia uhuru wake toka kwa Wareno.
Zaidi ya watu milioni 10 wamejiandikisha kupiga kura katika uchaguzi wa leo, ambao unaonekana kuwa wa kwanza kidemokrasia tangu nchi hiyo ilipojipatia uhuru wake kutoka kwa Wareno mwaka 1975.
Zoezi la upigaji kura linatarajiwa kuanza saa tatu kwa saa za Afrika mashariki.
CHANZO: BBC

No comments: