Sunday, October 26, 2014

MKUTANO WA UKAWA JANGWANI. LEOUmoja wa katiba ya Wananchi (UKAWA) unawatangazia Wananchi wote wazalendo wapenda nchi yao kuhudhuria katika Mkutano Mkubwa wa aina yake wenye lengo la kuizika CCM siku ya Jumapili katika viwanja vya JANGWANI kuanzia saa 8:00 Mchana. 

Njoo ushuhudie tukio muhimu la kihistoria ambapo Viongozi wa Kitaifa wa Vyama vinavyounda UKAWA watakavyosaini Makubaliano ya pamoja ya ushirikiano ktk Chaguzi zote zijazo kuelekea 2015.

Mkutano utarushwa live na kituo cha ITV.

Njoo ujionee namna madalali wa nchi hii watakavyoumbuliwa na katiba yao feki kusasambuliwa!

Mpe taarifa hii na mwenzako.

UKAWA TUMAINI LETU!


Update:

Wana UKAWA wamejaza viunga vyote vya Jangwani. Matarajio yao ya  kuchukua nchi 2015 ni makubwa .


No comments: