Friday, October 31, 2014

HATIMAYE MTWARA WAPATA KIVUKO CHAO.
Ni jukumu la mamlaka husika kukitunza na kuhakikisha kinasaidia mahitaji ya watu. Kivuko kinaitwa M.V Mafanikio. Tukitakie mafanikio katika utendaji wake na wasimamizi wake.

1 comment:

ray njau said...

Hakika ni mafanikio!