Thursday, July 24, 2014

KUELEKEA UCHAGUZI 2015Kwa hisani ya Bidii Google Groups.

 AHADI ZA  CCM  2010-2015

1.      Kujenga reli mpya kutoka Dar es Salaam mpaka mikoa ya Kanda ya ziwa
- Nzega, Tabora

2.      Mkoa wa Tanga kuwa Jiji la Viwanda - Tanga mjini

3.      Tabora kutumia maji ya Ziwa Victoria - Igunga

4.      Kulipa madeni ya chama cha Ushirika mkoa wa Shinyanga (SHIRECU) -
Shinyanga

5.      Kumaliza migogoro ya Ardhi nchini - Dodoma

6.      Wakulima kuacha kutumia jembe la mkono - Dodoma mjini

7.      Kuwapatia trekta wakulima - Kata ya Mrijo, Dodoma

8.      Wananchi kutoondolewa kwenye Ranchi ya Misenyi - Kagera

9.      Kujenga Uwanja wa Ndege Misenyi - Kagera

10.  Kupanua Uwanja wa Ndege Bukoba - Bukoba Mjini

11.  Kujenga uwanja wa ndege mkubwa Kigoma - Kigoma Mjini

12.  Mtukula kupatiwa umeme kutoka Uganda - Kagera

13.  Mikoa ya Kagera, Kigoma, Lindi, Rukwa na Ruvuma kuunganishwa katika
gridi ya taifa ya umeme - Kagera

14.  Kuimarisha Takukuru kwa miaka mitatu - Kagera

15.  Hukumu kwa waliopatikana na hati ya kuua albino - Mbeya

16.  Kununua meli kubwa kuliko MV Bukoba - Kagera

17.  Kuanzisha benki ndogondogo kwa ajili ya wajasiriamali

18.  Serikali kuvisaidia vyama vya ushirika - Mwanza

19.  Kuimarisha usalama Ziwa Victoria na Ziwa Tanganyika kwa kupeleka
kikosi maalum chenye vifaa kupambana na wahalifu - Mwanza

20.  Wilaya ya Geita kuwa hadhi ya mkoa Januari mwakani - Geita

21.  Kulinda muungano kwa nguvu zote - Pemba

22.  Kuwajengea nyumba waathirika wa mafuriko Kilosa - Morogoro

23.  Kununua meli mpya kubwa Ziwa Nyasa - Mbeya mjini

24.  Kujenga bandari Kasanga - Rukwa

25.  Kumaliza tatizo la walimu miaka mitano ijayo - Songea

26.  Kufufua mgodi wa makaa ya mawe Kiwira - Mbeya

27.  Kuzuia hatari ya kisiwa cha Pangani kuzama - Tanga

28.  Kununua bajaji 400 kwa ajili ya kubeba wajawazito hasa vijijini -
Iringa

29.  Kujenga barabara yenye kiwango cha lami kutoka Same mpaka Kisiwani -
Kihurio na kuiunganisha na barabara kuu ya Moshi - Dar es salaam - Same
mkoani Kilimanjaro

30.  Kumaliza tatizo la maji katika wilaya ya Same - Same Mjini

31.  Kuboresha barabara za Igunga - Tabora

32.  Kusambaza walimu 16,000 katika shule za sekondari zenye upungufu
makubwa wa walimu - Kisesa Magu

33.  Kununua vyandarua viwili kwa kila kaya - Mbeya Mjini

34.  Kuzipandisha hadhi hospitali maalumu saba nchini kuwa za rufaa ili
kuipunguzia mzigo Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MHN) - Hydom Manyara

35.  Kulinda amani nchini kwa kuzuia chokochoko za kidini, kikabila na
kisiasa - Musoma

36.  Kulinda haki za walemavu - Makete

37.  Kujenga baabara ya Njombe - Makete kwa kiwango cha lami,urefu wa
kilomita 109 - Iringa mjini

38.  Kujenga barabara Musoma - Mto wa Mbu Arusha - Arusha

39.  Kuanzisha jimbo la Ulyankulu- Shinyanga Mjini

40.  Kujenga barabara ya lami Manyoni-Kigoma - Kaliua,Tabora

41.  Kukarabati barabara ya Arusha Moshi - Arusha Mjini

42.  Kuboresha barabara ya Handeni, Kondoa, mpaka Singida - Dodoma

43.  Kuwafidia wanakijiji ng'ombe waliopotea wakati wa ukame mwaka 2009 -
Longido

44.  Vijiji vyote vilivyoko kilomita 15 kutoka kwenye bomba kuu la mradi
mkuu wa maji wa Ziwa Victoria - Shinyanga-Kahama kuunganishiwa maji -
Shinyanga

45.  Tatizo la umeme kufikia kikomo Novemba mwaka huu mkoani Arusha -
63.  kufufua chama kikuu cha ushirika cha wakulima wa Mbinga (MBICU) -

No comments: