Wednesday, February 5, 2014

TAFAKURI YA PICHA

CCM sina hamu nao, Maji hakuna, Umeme bei juu tena unapatikana kwa shida, Shule za kayumba walimu hakuna, vitabu hakuna, Nikiumwa hospitali hazina dawa, Mchele bei juu, Sukari bei juu, Usafiri ni balaa, Vifaa vya ujenzi bei juu siwezi kununua - - naombeni ushauri watanzania wenzangu wapi pa kukimbilia!!     
PICHA: JAMII FORUMS

Nb: Maudhui hayahusiani na mtazamo halisi wa mwandishi wa blog bali ni uwakilishi wa mawazo na mtazamo wa wengine katika kila kinachoendelea na Mustakabali wa nchi ya Tanzania. Tanzania inawakilishwa na watu mbalimbali, makabila mbalimbali pasipo kujali rangi,jinsia, nafasi "status" ama itikadi na mawazo yao lazima yaheshimiwe.

No comments: