Wednesday, August 7, 2013

UWANJA WA NDEGE NAIROBI WATEKETEA KWA MOTO


Hali ya taharuki imetawala katika kiwanja cha ndege cha Nairobi baada ya moto mkubwa kutokea na kusababisha ndege kadhaa kukwama. Moto huo ulianza tangu alfajiri na haijajulikana chanzo chake ni nini. Mpaka sasa mamlaka haijatoa kauli yoyote kuhusiana na hasara ya mali pamoja na chanzo cha moto huo.

No comments: