Monday, August 12, 2013

TAMKO RASMI KUTOKA FAMILIA YA BUYOYA BISWALO

Habari za Leo wanahabari wenzangu,
Natuma hili Tamko Rasmi (Official Statement) Kutoka Familia ya Buyoya Paul Biswalo (32 years old). Buyoya ni mtoto wa marehemu Prof. Paul Biswalo aliyefundisha UDSM kwa miaka mingi. Amepotea tangu Jumanne wiki iliyopita, baada ya kuzama maji katika Mto Chattahoochee huko Georgia. Alikuwa na kikundi ambao walikuwa walikuwa wanatalii kwa boti ndo akaanguka majini. Hadi naandika hii, bado hajapatikana.
Nitashukuru kama mtanisaidia kutangaza habari hii.
Kuna habari zaidi kwenye Blogu yangu Swahili Time pamoja na Tamko Kutoka National Park Service ya USA:
http://swahilitime.blogspot.com/2013/08/buyoya-biswalo-apotea-baada-ya-ajali-ya.html
Asante
Ni mimi,
Chemi Che-Mponda Kadete
Cambridge, MA USA
chemiche3@yahoo.com
Cell 617-721-2648 simu Landline 617-497-4353 (usitume text)

No comments: