Monday, May 6, 2013

NUKUU YA LEO

"Hata mauaji ya Padri Mushi aliyapokea kwa masikitiko, Kujeruhiwa padri Mkenda alipokea kwa masikitiko, kuchomwa moto makanisa amepokea kwa masikitiko!! Sijui nini ambacho hajapokea kwa masikitiko, labda alichopokea kwa furaha ni ile Video ya Ustaadh Ilunga ya mauji ya sheikh Rogo inayohamasisha kuua wakatoliki.

Kikwete matamko yako tumeyachoka sasa ni wakati wa kuchukua hatua za kukomesha mauaji, la sivyo wakristo tutaamua kujilinda wenyewe dhidi ya maadui zetu" 


 Ulukolokwitanga

JAMII FORUMS No comments: