Thursday, May 23, 2013

KUNRADHI MALAWI NA TANZANIA

Kuna ujumbe ulikuwa unasambazwa kupitia simu za mikononi ambao na mimi nimeupokea ukidai kwamba kuna mabomu yametupwa kutoka nchi jirani Malawi. Blogu inapenda kutoa taarifa kwamba habari hizo sio za kweli. Pia inaomba radhi kwa wale wote kwa namna moja ama nyingine imewagusa. Kunradhi nchi ya Malawi na Watu wake, Kunradhi Watanzania

No comments: