Friday, May 10, 2013

JESHI LA NCHIMBI LAUA MTOTO WA MIAKA 9( KUNRADHI PICHA SIO NZURI NI HALI HALISI)

Haya ndiyo yaliyofanyika Tarime leo mtoto wa miaka 9 kuuuwa na jeshi la polisi kwa uzembe eti wanawakamata majambazi ambao si wale wanaoiba na kuuwa watu mpaka mwa Tanzania na Kenya kashuhudie mwenyewe uone then comment! HATA HIVYO UNAOWAONA NI WANANCHI WALIOCHOKA WAKIANADAMANA HUKU WAMEBEBA KWENYE MACHELA MWILI WA MAREHE dEO yKOB MWNAFUNZI WA DARASA LA TATU KATIKA SHULE YA MSINGI MTURU MJINI HAPA! Nimelishuhudia hili.
 
 
JAMII INFORMATION NETWORK

No comments: