Friday, May 17, 2013

HUDUMA ZASIMAMA MTWARA

Hatimaye leo tarehe 17/05/2013 siku ambayo serikali ilikuwa iwasilishe bajeti ya Wizara ya Nishati na Madili sorry Madini lakini ikaghairi kutokana na shinikizo la WanaMtwara.  Leo Maduka karibia yote pamoja na baadhi ya ofisi zimefungwa na huduma zote zimesimama. Hali ni  ya utulivu maeneo mengi na doria ya maaskari inafanywa. Hii ni hatua muhimu sana kwa wananchi kuweza kushikamana sio kwa kudai haki pekee bali mshikamano uonekane pia katika maendeleo. UMOJA NI NGUVU

No comments: