Wednesday, January 2, 2013

PIGO KATIKA TASNIA YA FILAMU

Muigizaji Juma Kilowoko (pichani) maarufu kama Sajuki amefariki dunia leo majira ya saa moja kasorobo akipatiwa matibabu hospitali kuu ya taifa Muhimbili alikolazwa siku mbili zilizopita.

No comments: