Friday, January 4, 2013

MVUA KUBWA YAIKUMBA MTWARA

Kama mamlaka ya hali ya hewa ilivyotabiri, mvua kubwa iliyoambatana na upepo imeyakumba maeneo kadhaa ya Mtwara na kusababisha barabara kushindwa kupitika na nyumba kadhaa kuezuliwa mapaa. Tatizo kubwa linaloonekana ni ukosefu wa ubunifu na mipango endelevu ya kutengeneza mitaro ya kusafirisha maji ambayo ingepelekea maji kusafiri na kwenda baharini kinachofanyika watu wanaopewa kandarasi wanajenga barabara ambazo hazina mifereji ya kusafirisha maji. Hii inatokana na uzembe wa watendaji

No comments: