Thursday, December 6, 2012

SERIKALI ISIYOTHAMINI WATU WAKE

Wanafunzi wa shule ya moja ya msingi iliyopo Ngaramtoni mkoani Arusha wakipokezana kulishika bango hilo kufikisha ujumbe kwa wahusika wakiwemo viongozi wa serikali kulilia shamba la kulima walilonyan"ganywa na muwekezaji, na sasa wanashinda njaaa shuleni.
PICHA: BERTHA MOLLEL
 
Mtazamo.
Serikali haiwathamini watu wake mpaka siku ya uchaguzi kwa masinia ya mchele,ubwabwa, vitenge na makapero kwa bilauri za pombe. Matokeo yake ni fedheha.
 

No comments: