Friday, December 28, 2012

MAWAIDHA YA SHEIKH ABOUD ROGO
Moja kati ya matukio ya kusikitisha mwaka huu 2012, ni mauaji ya Al marukhum sheikh Aboud Rogo. Moja kati ya dhima za mwanadamu ni kuongea kile kinachomkera,kinachomfurahisha, kuwafunza wenzie kwa mawaidha, hadith, mafundisho ya vitabu vya dini na kutoa ujumbe kwa umma,kamwe isiwe shari uchochezi ama chuki.

No comments: