Tuesday, December 11, 2012

AJALI MBAYA YATOKEA MTWARA

Ajali mbaya yatokea Mtwara na kuua watu watatu wawili papo hapo na mmoja kafia hospitali baada ya kuporomokewa na jengo la ghala wakati wakiendelea na ujenzi maeneo ya bandarini Mtwara jana. Mpaka sasa haijajulikana chanzo. Ila kwa mujibu wa wadadisi inatokana na uzembe wa usimamizi kuanzia kwenye tenda mpaka kwenye kandarasi kwa kutozingatia taaluma na watu kutaka maendeleo ya chap chap na hatimae kugharimu maisha ya watu.

No comments: