Monday, November 12, 2012

SUALA LA WATOTO WA KIUME KULAWITIWA LIMESHAMIRIWakati tukikaribia kuadhimisha siku ya taifa ya UKIMWI, jamii inalizungumzia vipi suala hili ambalo limeshamiri katika jamii yetu....? Kumekuwapo matukio mengi ambapo jamii ikekuwa ikiyafumbia macho..

Moja ya vichocheo vya mmomonyoko wa maadili ambapo matokeo yake ni ushoga kwa watoto wa kiume na kukosa maadili ni :-
Watoto wa mitaani, hali ngumu ya maisha, matatizo ya kisaikolojia, matatizo ya kifamilia, pamoja na suala la utandawazi, madawa ya kulevya, Mashule ya bweni, Magerezani, Maafisa Ustawi wa jamii kutofanya kazi yao kutokana na serikali kutoweka sera thabiti katika kulidhibiti Mwisho mtizamo wa kijinsia kuegemea zaidi kwa wanawake na kusahau hata watoto wa kiume wanakumbana navyo, Wazazi kutokuwa wawazi kwa watoto wao. Je wewe umechukua hatua gani juu ya hili, kiongozi, mtoa sera pamoja na mtunga sheria wamefanya nini? ...

CHUKUA HATUA

VIDEO KWA HISANI YA KTN YA KENYA

1 comment:

Yasinta Ngonyani said...

Hakika huko tunakoenda sasa sijui ni wapi? Yaaani kweli tumegeuka kuwa wanyanma kasi hiki. Inasikitisha sana kwa kweli...