Thursday, November 15, 2012

PALE MSAADA UNAPOTOLEWA NA MATUMIZI YANAPOPINDISHWA

Gari hii imetolewa kwa ajili ya matumizi ya wanafuzni wa shule ya sekondari ya Mustafa Sabodo ya mtwara ..cha ajabu waheshimiwa madiwani wetu wa halmashauri ya wilaya ya mtwara viijni wamegeuza kufanya gari hiyo ya matumizi yao wao.. Tafakari ni misaada mingapi inayotolewa na wahisani na matumizi yake yakapindishwa na wanasiasa?

No comments: