Saturday, October 13, 2012

KAMISHNA WA POLISI MWANZA AUAWAKamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Liberatus Barlow ameuawa kwa kupigwa risasi na majambazi usiku wa kuamkia leo katika maeneo ya Kitangiri jijini Mwanza.


Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Said Mwema amethibitisha kutokea kwa tukio hilo, na kusema timu ya Makachero kutoka Dar ikiongozwa na Mkurugenzi wa Upepelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Robert Manumba inakwenda jijini humo kuongeza nguvu ya kiupelelezi na taarifa zaidi zitatolewa baadaye

No comments: