Wednesday, October 3, 2012

AJALI YA MOTO CHUO CHA NALIENDELE -MTWARA

Moto mkubwa unawaka katika chuo cha Naliendele. Taarifa hazielezi chanzo cha moto huo ingawa inaelezwa kwamba moto huo umeathiri sana bweni la wasichana. Mpaka sasa magari ya Zimamoto na Bandari yako kwa ajili ya kuokoa maisha na mali ambazo hazijateketea. Taarifa zinaeleza kwamba endapo kusingekuwa na uzembe unaosababisha ubovu wa magari ya zimamoto ya Manispaa, madhara yasingekuwa makubwa. Najua hata wao wataweza kusema kasoro inajitokeza pahala pengine lawama wazipata wao. Ni kweli kwa sababu ajali haina kinga. Na hawa wamezidi uzembe kila siku walalamikiwa wao tu .

No comments: