Wednesday, September 19, 2012

MKAPA ASHIRIKI HARAMBEE YA UJENZI SHULE YA ST. THOMAS AQUINAS MTWARA

Mkapa akiwa na Askofu wa Jimbo la Mtwara pamoja na Mzee Kambona. Inaelezwa hawa ni vijana waliosoma na kukua pamoja enzi hizo  sekondari ya Ndanda

Baba Askofu wa Jimbo katoliki Mtwara- Gabriel Mmole

Shekhe wa Mkoa naye alishiriki katika harambee ya ujenzi katika sekondari ya St. Thomas Aquinas Mtwara

Shekhe Mangochi hakukosekana

Pongezi kwako mzee Mkapa kwa kuweza kusaidia nyumbani ulikotoka.

PICHA : JIMMY MAHUNDI

No comments: