Saturday, September 22, 2012

DAKTARI MKUU MWANANYAMALA ALAZIMIKA KUJIFUNGIA OFISINI BAADA YA MAITI KUPOTEA MAZINGIRA YA KUTATANISHA
Mganga mkuu wa hospitali ya Mwananyamala jijini Dar Es Salaam amelazimika kujifungia ndani ya ofisi yake baada ya ndugu waliofika hospitalini hapo kufuata maiti ya ndugu yao kuikosa bila kupewa maelezoVIDEO: ITV

No comments: