Thursday, September 6, 2012

6 WAHOFIWA KUFA BAADA YA KUFUKIWA NA KIFUSI MGODINI-RUANGWA

Watu sita wahofiwa kufa baada ya kufukiwa na kifusi mgodini wilaya ya Ruangwa eneo la MNACHO. Jitihada za uokozi zinaendelea changamoto ikiwa ni ukosefu wa vifaa vya uokozi.

No comments: