Tuesday, August 28, 2012

SHEIKH ABOUD ROGO AUAWA

Mwanaharakati maarufu wa nchini Kenya Sheikh Aboud Rogo ameuawa wakati akiwa katika mihangaiko yake ya kila siku katika bara bara ya Mombasa na Malindi nchini Kenya. Sheikh huyo amekuwa akituhumiwa kwa ugaidi jambo ambalo amekuwa akilikanusha siku zote mpaka walipoutoa uhai wake. Kifo hicho kimezua vurugu kubwa na mpaka sasa mtu mmoja ameuawa. Pumzika kwa Amani Sheikh Rogo

No comments: