Tuesday, June 5, 2012

WADAU WA DAMU SALAMA WAPATA AJALI WILAYANI TUNDURU

Wadau wa Mpango wa Damu Salama kanda ya Kusini wamepata ajali kilometa tano kutoka mji wa Tunduru wakitokea wilaya ya Namtumbo wakielekea Mtwara ambapo chanzo cha ajali hiyo ni dereva kumkwepa mwendesha baiskeli na  kupelekea gari  kubiringika mara tatu. Ajali hiyo imesababisha majeruhi . Kikubwa cha kushukuru abiria wote walizingatia usalama wao kwa kufunga mikanda

No comments: