Friday, June 1, 2012

MSAADA MSAADA KWA RUKIA ABDALLAHUKISTAAJABU YA MUSA....NILIYOYAKUTA KWA SHABANI H.KALEMBO
RUKIA ABDALHA ni mtoto wa miaka miwili anayeishi RUANGWA(LUGALO) mkoani LINDI aliungua maji ya moto,akapelekwa hospitali ya wilaya RUANGWA ambako alipata huduma ya kwanza na kushauriwa aende NDANDA,NYANGAO au MUHIMBILI.Wazazi wa RUKIA hawana uwezo kifedha kumfikisha ktk hospitali hizo,wanazidi kumuuguza mtoto huyo kienyeji nyumbani kwao na sasa mtoto huyo anatoa harufu kali.Mh.MBUNGE KASSIM MAJALIWA saidi mtoto huyu.

No comments: