Wednesday, May 9, 2012

ZAHANATI MTWARA YAPEWA MKOKOTENI KUBEBEA WAGONJWAZahanati moja ya kijiji cha Kilongo Mtwara vijijini imepewa mkokoteni
kwa ajili ya kubebea wagonjwa. Mkokoteni huo kwa sasa hautumiki baada
ya kuharibika na zahanati hiyo kushindwa kuutengeneza.

No comments: