Monday, May 7, 2012

BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI

Rais Jakaya Mrisho Kikwete,kwa mujibu wa madaraka ya kikatiba aliyonayo,hivi leo ametangaza Baraza La Mawaziri. Hii hapa chini ni orodha kamili ya Baraza hilo likijumuisha Mawaziri na Manaibu Waziri ambayo kimsingi ina majina takribani yale yale ya Baraza La Mawaziri lililopita isipokuwa machache na pia mabadiliko ya majina fulani kutoka Wizara moja hadi nyingine.
Shughuli ya kuliapisha Baraza hili inatarajiwa kufanyika Jumatatu tarehe 7/5/2012 Ikulu jijini Dar-es-salaam.

OFISI YA RAIS
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu)
Ndugu Stephen M. Wasira, Mb.,
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, (Utawala Bora)
Ndugu George Mkuchika, Mb.,
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (UTUMISHI)
Ndugu Celina Kombani, Mb.,

OFISI YA MAKAMU WA RAIS
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (MUUNGANO)
Ndugu Samia H.  Suluhu, Mb.,
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (MAZINGIRA)
Dr. Terezya P.L. Huvisa, Mb.,

OFISI  YA WAZIRI MKUU
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri  Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji)
Ndugu Mary M. Nagu, Mb.,
Waziri wa Nchi, Ofisi  ya Waziri Mkuu (TAMISEMI)
Ndugu Hawa Ghasia, Mb.,
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge)
Ndugu William V. Lukuvi, Mb.,

WIZARA
Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki- Ndugu Samuel J. Sitta, Mb.,
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa- Ndugu Shamsi Vuai Nahodha, Mb.,
Waziri wa Ujenzi- Dr.  John P. Magufuli, Mb.,
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii- Dr. Hussein A.H. Mwinyi, Mb.,
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi-Dr. Shukuru J. Kawambwa, Mb.,
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto-Ndugu Sophia M. Simba, Mb.,
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa-Ndugu Bernard K. Membe, Mb.,
Waziri wa Katiba na Sheria -Ndugu Mathias M. Chikawe, Mb.,
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi-Ndugu Emmanuel Nchimbi, Mb.,
Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi-Dr. David M. David, Mb.,
Waziri wa Kazi na Ajira -Ndugu Gaudentia M. Kabaka, Mb.,
Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia-Prof.  Makame M. Mbarawa, Mb.,
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi -Prof.  Anna K. Tibaijuka, Mb.,
Waziri wa Maji-Prof. Jumanne Maghembe,  Mb.,
Waziri asiyekuwa na Wizara Maalum-Prof. Mark Mwandosya, Mb.,
Waziri wa  Kilimo, Chakula na Ushirika-Eng. Christopher Chiza, Mb.,
Waziri wa Uchukuzi -Dr. Harrison Mwakyembe, Mb.,
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo-Dr. Fenella E. Mukangara, Mb.,
Waziri wa Maliasili na Utalii-Ndugu Khamis Kagasheki, Mb.,
Waziri wa Viwanda na Biashara -Dr. Abdallah O. Kigoda, Mb.,
Waziri wa Fedha-Dr. William Mgimwa, Mb.,
Waziri wa Nishati na Madini-Prof. Sospeter Muhongo, Mb.,

NAIBU MAWAZIRI
OFISI YA RAIS
HAKUNA NAIBU WAZIRI
OFISI YA MAKAMU WA RAIS
Naibu Waziri, Ofisi ya Makamu wa Rais
Ndugu Charles Kitwanga, Mb.,

OFISI YA WAZIRI MKUU
Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi  ya Waziri Mkuu (TAMISEMI)- Ndugu Majaliwa K. Majaliwa, Mb.,
Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi  ya Waziri Mkuu (TAMISEMI)-Ndugu Aggrey Mwanry, Mb.,
WIZARA MBALIMBALI
Naibu Waziri wa Kazi na Ajira-Dr. Makongoro M. Mahanga, Mb.,
Naibu Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika-Ndugu Adam Malima, Mb.,
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi-Ndugu Pereira A. Silima, Mb.,
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara-Ndugu Gregory G. Teu, Mb.,
Naibu Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi-Ndugu Benedict N. Ole-Nangoro, Mb.,
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa-Ndugu Mahadhi J. Maalim, Mb.,
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo  ya Makazi,-Ndugu Goodluck J. Ole-Medeye, Mb.,
Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto -Ndugu Ummy A. Mwalimu, Mb.,
Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi -Ndugu Philipo A. Mulugo, Mb.,
Naibu Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki -Dr. Abdulla Juma Abdulla, Mb.,
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii-Ndugu Lazaro Nyalandu, Mb.,
Naibu Waziri wa Ujenzi-Ndugu Gerson Lwenge,Mb.,
Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii,-Dr. Seif Suleiman Rashid,Mb.,
Naibu Waziri wa Nishati na Madini-Ndugu George Simbachawene, Mb.,
Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia-Ndugu January Makamba, Mb.,
Naibu Waziri wa Uchukuzi-Dr. Charles J. Tizeba, Mb.,
Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo-Ndugu Amos Makala, Mb.,
Naibu Waziri wa Maji-Eng. Dr. Binilith Mahenge,Mb.,
Naibu Waziri Nishati na Madini-Ndugu Stephen Maselle, Mb.,
Naibu Waziri wa Katiba na Sheria-Ndugu Angela Jasmine Kairuki, Mb.,
Naibu Waziri wa Fedha-Ndugu Janet Mbene, Mb.,
Naibu Waziri wa Fedha-Ndugu Saada Mkuya Salum, Mb.,

No comments: