Wednesday, April 11, 2012

TISHIO LA TSUNAMI TANZANIAKumekuwa na tishio la Tsunami leo hii ambapo kati ya mataifa yaliyotajwa Tanzania ni mojawapo. Hivyo watu/wakazi ambao wapo kando kando mwa bahari ya Hindi tunatakiwa tujiandae lolote laweza kutokea.

No comments: