Tuesday, April 10, 2012

SAFARI YA MWISHO YA STEVEN KANUMBA

Mama Mzazi wa Hayati Steven Kanumba akiwa na huzuni na majonzi kwa kuondokewa na mwanaye
Jeneza lenye mwili wa Hayati Steven Kanumba likiwasili katika viwanja vya Leaders Kinondoni kwa ajili ya heshima za mwisho

Jeneza lililobeba Mwili wa Steven Kanumba likiwa limewekwa sehemu maalum iliyotengwa kwa ajili wa kutoa heshima ya mwisho

PICHA: FULL SHANGWE BLOG

No comments: