Monday, April 2, 2012

MAMA SALMA KIKWETE AZINDUA KAMPENI YA KUCHANGIA DAMU SALAMA

Mwenyekiti Taasisi ya wanawake na maendeleo (WAMA)Mhe Mama Salma Kikwete akisoma hotuba katika uzinduzi wa kuchangia damu salama kwa ajili ya kuokoa maisha ya wakina mama wajawazito wanapojifungua.katika kulia Naibu Waziri Habari,Vijana utamaduni na michezo Mhe;Fenella Mukangara.wakwanza kulia mkurugenzi mtendaji Dr.Telephory Kyaruzi,wakwanza kushoto Meya wa manispaa ya kinondoni Mhe;Yusuphu Mwenda.wapili kushoto katibu Tawala mkoa wa Dar es salaam Bi.Theresia Mmbando.Uzinduzi huo ulifanyika jana katikaka viwanja vya biafra jijini Dar es salaam.
Mwekiti Taasisi ya wanawake na maendeleo (WAMA)Mhe Mama Salma Kikwete.akipeana mikono na madaktari vijana alipowasili katika uzinduzi huo
Baadhi ya wakazi wa jiji la Dar es salaam wakiwa wamejipanga tayari kwenda kuchangia damu salama
Wakina mama wakihakikiwa mapigo yao ya moyo kabla ya kushiriki zoezi la kuchangia damu salama.
Wanafunzi kutoka shule ya Azania Sec, ya jijini Dar es Salaam wakichangia damu salama

PICHA NA MAELEZO: FULLSHANGWE BLOG

No comments: