Monday, April 30, 2012

MAHAKAMA YAMVUA UBUNGE MBUNGE WA SUMBAWANGA MJINIMahakama imetengua ubunge wa aliyekuwa mbunge wa Jimbo la Sumbawanga Mjini kwa tiketi ya CCM Mhe. Aeshi Hillal hivyo kuanzia sasa jimbo hilo lipo wazi

No comments: