Monday, April 16, 2012

JAMES MILLYA AJIENGUA CCMKumekuwa na taarifa ambazo sio rasmi kuhusu kujiengua uanachama kwa aliyekuwa Mwenyekiti wa UVCCM mkoani Arusha. Taarifa hizo hazielezi nini kiini cha kujiondoa kwake isipokuwa zinaelezea kutokuridhishwa kwake na baadhi ya mambo yanavyoendeshwa ndani kwa ndani kwenye chama chake. Aidha inadaiwa ndg James Ole Millya alijaribu kushiriki katika kinyang'anyiro cha kupata wawakilishi watakaogombea Ubunge wa Afrika Mashariki lakini jina lake liliondolewa katika hatua za mwanzo.

No comments: