Thursday, February 9, 2012

HALI SI SHWARI: SHULE YA SEKONDARI YA NDANDA
Hali sio shwari katika shule ya sekondari ya Ndanda kufuatia sintofahamu iliyogubika suala la utata wa wanafunzi 16 waliofukuzwa shule kwa kudai kuwa na mahala pao pa kuabudia yaani msikiti. Kufuatia sintofahamu hiyo, serikali iliamua kutafuta njia ya kulitatua tatizo hilo mojawapo likiwa ni kuwarudisha wanafunzi hao 16 kurudi shuleni bila masharti yoyote ili waweze kufanya mitihani ya kidato cha sita inayotarajiwa kuanza hivi karibuni.

Kinyume na matarajio ya wengi wanafunzi hao 16 hawakujitokeza na badala yake wameweka kambi maeneo jirani na wamepanga kufanya maandamano wakati wowote kudai haki yao ya kuabudi wawapo shuleni na wamesema hawatakubali hata wakimwaga damu yao ali mradi serikali na uongozi wa shule utekeleze matakwa yao. Hivi sasa vikosi vya kutuliza ghasia vimetanda katika shule hiyo ili kuepusha shari yoyote itakayojitokeza na kupelekea kuathiri utendaji wa shughuli za shule ikiwamo mitihani inayoendelea.

Wakati hayo yakiendelea, hali ya ufaulu wa mitihani ya kidato cha nne kutokana na matokeo yaliyotoka hivi karibuni kwa mkoa wa Mtwara hairidhishi na mkazo mkubwa unatakiwa katika kuwaandaa vijana kielimu kwani kwa taarifa za mashule zinavyoonesha kwa Manispaa ya Mtwara/ Mikindani kiwango cha kufeli ni kikubwa mno. Kwa ujumla serikali ilikurupuka mno kujenga shule za kata kwani asilimia kubwa ya shule hizo hazifanyi vizuri katika matokeo ya mitihani na kazi kubwa yahitaji kufanyika. Mchanganuo wa mashule kwa ufupi ni kama ifuatavyo:-

S0528 SABA SABA SECONDARY SCHOOL
DIV-I = 1 DIV-II = 3 DIV-III = 10 DIV-IV = 71 FLD = 103 .

1545 RAHALEO SECONDARY SCHOOL
DIV-I = 0 DIV-II = 2 DIV-III = 3 DIV-IV = 42 FLD = 92

S1491 SHANGANI SECONDARY SCHOOL
DIV-I = 1 DIV-II = 8 DIV-III = 21 DIV-IV = 64 FLD = 63

S1547 SINO-TANZANIA FRIENDSHIP SECONDARY SCHOOL
DIV-I = 0 DIV-II = 4 DIV-III = 6 DIV-IV = 55 FLD = 83

S0139 MTWARA TECHNICAL SECONDARY SCHOOL
DIV-I = 7 DIV-II = 17 DIV-III = 20 DIV-IV = 32 FLD = 30
S1937 MANGAMBA SECONDARY SCHOOL
DIV-I = 0 DIV-II = 1 DIV-III = 3 DIV-IV = 43 FLD = 62

S1023 NALIENDELE SECONDARY SCHOOL
DIV-I = 0 DIV-II = 0 DIV-III = 1 DIV-IV = 23 FLD = 77

S2420 ZIWANI SECONDARY SCHOOL
DIV-I = 0 DIV-II = 0 DIV-III = 1 DIV-IV = 47 FLD = 40

S0215 MTWARA GIRLS SECONDARY SCHOOL
DIV-I = 0 DIV-II = 3 DIV-III = 9 DIV-IV = 42 FLD = 16

S0105 CHIDYA SECONDARY SCHOOL

DIV-I = 1 DIV-II = 12 DIV-III = 18 DIV-IV = 41 FLD = 15

S0213 MASASI GIRLS SECONDARY SCHOOL

DIV-I = 0 DIV-II = 3 DIV-III = 11 DIV-IV = 52 FLD = 38


S0553 NEWALA SECONDARY SCHOOL

DIV-I = 0 DIV-II = 0 DIV-III = 2 DIV-IV = 47 FLD = 80


S0608 NANYAMBA SECONDARY SCHOOL

DIV-I = 0 DIV-II = 0 DIV-III = 0 DIV-IV = 33 FLD = 91

S0805 LUKULEDI SECONDARY SCHOOL

DIV-I = 0 DIV-II = 0 DIV-III = 5 DIV-IV = 45 FLD = 85

S0812 MAHIWA SECONDARY SCHOOL

DIV-I = 0 DIV-II = 0 DIV-III = 11 DIV-IV = 53 FLD = 79

S0831 NANGWANDA GIRLS SECONDARY SCHOOL

DIV-I = 0 DIV-II = 0 DIV-III = 0 DIV-IV = 35 FLD = 94

S1023 NALIENDELE SECONDARY SCHOOL

DIV-I = 0 DIV-II = 0 DIV-III = 1 DIV-IV = 23 FLD = 77

****S1049 ST.THOMAS AQUINAS' SECONDARY SCHOOL(The Best)

DIV-I = 8 DIV-II = 19 DIV-III = 49 DIV-IV = 65 FLD = 1

S1077 OCEAN SECONDARY SCHOOL

DIV-I = 1 DIV-II = 1 DIV-III = 0 DIV-IV = 22 FLD = 93

S1491 SHANGANI SECONDARY SCHOOL

DIV-I = 1 DIV-II = 8 DIV-III = 21 DIV-IV = 64 FLD = 63

S1655 MSIMBATI SECONDARY SCHOOL

DIV-I = 0 DIV-II = 0 DIV-III = 0 DIV-IV = 18 FLD = 36

S1812 ISDORE SHIRIMA SECONDARY SCHOOL

DIV-I = 0 DIV-II = 1 DIV-III = 0 DIV-IV = 12 FLD = 40

S2612 NG'APA SECONDARY SCHOOL

DIV-I = 0 DIV-II = 1 DIV-III = 5 DIV-IV = 24 FLD = 11

S2613 NYENGEDI SECONDARY SCHOOL

DIV-I = 0 DIV-II = 0 DIV-III = 1 DIV-IV = 23 FLD = 36

S3092 KINENG'ENE SECONDARY SCHOOL

DIV-I = 0 DIV-II = 0 DIV-III = 0 DIV-IV = 9 FLD = 21


S0186 RONDO JUNIOR SEMINARY

DIV-I = 1 DIV-II = 2 DIV-III = 4 DIV-IV = 16 FLD = 1

S0244 MTWARA SISTERS SEMINARY

DIV-I = 0 DIV-II = 0 DIV-III = 2 DIV-IV = 10 FLD = 2

1 comment: