Friday, January 13, 2012

WANATIMIZA WAJIBU WAO KWELI? AMA NI KUTAFUTA UMAARUFU.

Pichani ni mkuu wa mkoa wa Iringa Dkt. Christine Ishengoma na Mbunge wa Ludewa Mheshimiwa Filikunjombe wakiwa katika zoezi la upandaji wa miche ya Kahawa hivi karibuni. Hata hivyo muonekano wao wa kimavazi na shughuli yenyewe haviendani. Changamoto kwao je, kama wao alikuwa na nia thabiti ya kushiriki zoezi hilo kwanini hawakujiandaa kwa shughuli hiyo. Ama ni kutafuta umaarufu tuwaone kwenye picha kwamba ni wachapa kazi wa zuri. Hata hivyo sio dhambi kwa kiongozi kuonyesha mfano kwa wananchi wake lakini vitendo hivyo viambatane na nia pamoja na uzalendo wa dhati. CHEO NI DHAMANA

No comments: