Thursday, January 19, 2012

TUKEMEE UKATILI KWA WATOTO

Picha ya mtoto Nase Yonah (9) jinsi alivyoharibika mgongoni kwa majeraha yanayodaiwa kutokana na kipigo alichokuwa akikipata kutoka kwa shangazi yake aliyetajwa kwa jina la Anna Minja, mwalimu wa shule ya Msingi Narumu, Hai.

No comments: