Tuesday, January 17, 2012

DAR ES SALAAM YAZIZIMA KWA MAJONZI WAKIMUAGA MPENDWA WAO REGIA MTEMA

Mheshimiwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Anne Makinda akitoa heshima zake za mwisho kwa nyota iliyozimika ghafla kama mshumaa uliozimwa na upepo. Mheshimiwa Regia Estelatus Mtema katika viwanja vya Karimjee mchana huu kabla ya safari ya kwenda kwenye makazi ya kudumu huko Ifakara mkoani Morogoro
Walinzi wa Bunge " Sergeant at arms" wakiwa wamebeba jeneza lililoubeba mwili wa Mheshimiwa Mtema wakienda kuliweka mahala ambapo heshima za mwisho zitatolewa
Gari ambalo lilitumika rasmi kuubeba mwili wa Hayati Mtema kutoka hospitali ya Muhimbili kwenda katika viwanja vya Karimjee kwa ajili ya kutolewa heshima za mwisho

PICHA: MICHUZI

No comments: