Thursday, December 22, 2011

MAFURIKO YA JIJI LA DAR KATIKA PICHA.

Raia wakiwa wanatembea kwa miguu kuelekea majumbani kwao baada ya miundombinu kuharibiwa vibaya na kupelekea njia kutopitika kwa urahisi na usalama na magari
Sehemu ya bonde la mto msimbazi ikiwa imejaa maji kuelekea baharini
Nyumba zilizopo bonde la Msimbazi eneo la Jangwani baada ya Magomeni zikiwa zimefukiwa na maji
Nyumba zilizopo eneo la bonde la Jangwani mitaa ya Twiga
Nyumba za eneo la bonde la mto wa Jangwani
Sehemu za Kingo la Daraja la Selander zikiwa zimeharibika vibaya
Gari la serikali likiwa limedumbukia shimoni
Daraja la mto jangwani likiwa limefunikwa na maji
Nyumba zilizopo maeneo ya Bonde la mto msimbazi , Jangwani na Magomeni zikiwa zimefunikwa na maji
PICHA: MICHUZI

No comments: