Thursday, December 22, 2011

HALI HALISI YA MAFURIKO DAR.

Tayari watu 13 wameshapoteza maisha mpaka hivi sasa kwa mujibu wa vyanzo vya serikali . Hata hivyo idadi hiyo yaweza isiwe halisia sana kutokana na hali yenyewe.

No comments: