Tuesday, November 8, 2011

JOE FRAZIER AFARIKI DUNIA

Joe Frazier Kulia akiwa na mpinzani wake Muhamad Ali kabla ya pambano lao pamoja na promota maarufu Don King. Frazier aliwahi kumpiga Muhamad Ali naye akaja kupigwa mwaka 1975 kwa point. Frazier ni kati ya mabondia wakali sana waliopata kutokea ingawa hakuwa na umaarufu kama akina Muhamad Ali ama Mike Tyson.

No comments: