Saturday, November 19, 2011

HUKUMU YA JAIRO YANGURUMA

Kamati teule ya bunge iliyoundwa na Spika wa Bunge inawasilisha ripoti kamili juu ya sakata la ulipaji wa posho kwa wabunge kutoka katika asasi na idara zilizomo katika wizara ya nishati na madini ambayo mhusika mkuu ni Katibu Mkuu David Jairo. Taarifa kuwajieni punde

No comments: