Tuesday, October 18, 2011

MISS MTWARA AFARIKI DUNIA


Kuna taarifa za kusikitisha za kufariki kwa Miss Mtwara aitwaye Rahma Swai. Bi Rahma Swai amekumbana na umauti wakati alipokuwa hospitali akitibiwa. Mwili wa marehemu umehifadhiwa katika hospitali ya mkoa ya Mtwara-Ligula wakati taratibu zingine zikiendelea. Mwenyezi Mungu aiweke roho ya marehemu mahali pema peponi. AMEN

No comments: