Monday, October 3, 2011

HATIMAYE NDG. MARK MFUNGUO AMEONEKANA

Nashukuru kwa jitihada zilizoweza kufanyika na ninapenda kuwashukuru mabloga wote ambao kwa namna moja ama nyingine waliguswa na taarifa ya kupotea kwa ndg. Mark K Mfunguo. Sina cha kuwalipa zaidi ya kuwaahidi utii usiokuwa wa usaliti wala undumilakuwili.

Ndg Mark Mfunguo alionekana jana majira ya saa tisa mchana maeneo ya Stendi ya Mkoa Ubungo jitihada zilifanyika na sasa yupo mikononi mwa familia yake akiangaliwa kwa umakini.

ASANTENI SANA.

No comments: